ITIFAKI NA MAADILI

Katika maisha ya kila siku suala la kuzingatia itifaki ni muhimu sana.kwani watu wengi wa jamii tofauti tofauti wanashindwa kufikia malengo ya mawasiliano katika kusimba na kusimbua taarifa. Hivyo basi kozi hii ya Itifaki na maadili inaenda kukusaidia wewe katika kujua nini ufanye na kipi usifanye katika muktadha mbali mbali, huku ikienda sambamba na udondozi wa maadili ya kiafrika kwa ujumla.

  1. Itifaki katika kazi.
  2. Itifaki katika uwapo safarini.

Chargement...